maelezo ya bidhaa
How to use:
1. Insert the device to car cigarette lighter outlet, start the car for Power ON
2. Tune the car radio and device to a same blank channel, such as if car radio is 87.5MHz, the device must be 87.5MHz to
3. Turn on the BT of phone, search and Pair with it, pair successfully, play phone music, sounds will come out from car speaker
USB Flash Music playing:
If insert the USB flash drive, it will automatically play USB music
Package included:
1 x BT Car MP3 Player
Car MP3 Player Car MP3 Player Car MP3 Player Car MP3 Player Car MP3 Player
Mapitio
Usafirishaji
Bidhaa zinazotazamwa
BT Car Hands-free Wireless FM Transmitter MP3M26 car player
KUFIKISHA
- Nunua bidhaa 10 Pata punguzo la 10% kwenye malipo.
- Malipo katika duka letu la Tanzania yanapatikana.
- Dispatch: Ndani ya siku 5-7 kutoka ghala letu la China.
- Usafirishaji wa ndege ndani ya siku 7-10.
- Usafirishaji wa meli wa siku 30-45.
- Mzigo utapokelewa ofisini kwetu: KARIAKOO, DARESALAAM TANZANIA, huduma ya kutuma mzigo mpaka ulipo unapatikana mzigo ukifika offisini kwetu.
- Kwa sababu ya janga la Covid 19 hatutumi mizigo nchi zingine isipokuwa Tanzania. Usafirishaji wa kimataifa utaanza tena mnamo Novemba.
KURUDISHA MZIGO
Ikiwa hujapenda bidhaaunaweza kuirudisha ndani ya siku 5. Isipokuwa bidhaa kama nguo za ndani, nguo za kuogelea na bidhaa za offer. Tuna sera rahisi na rahisi ya kurudi bure. Tafadhali zingatia vigezo na masharti yetu ya Uwasilishaji na Kurudisha kwa bidhaa.